Hii ni hazina inayobeba nyaraka rasmi za Nuru. Kuweza kuifungua katika tarakilishi yako, hakikisa umesanikisha Node.js v16+
. Katika terminal yako tumia command ifuatayo ambayo itasandikisha dependencies za hazina hii;
npm i
Ikishamaliza kusanikisha, tumia command ifuatayo kuanzisha hazina hii iliuweze kuifungua kwenye browser yako.
npm run docs:dev